Mashahidi wa Yehova Walio Gerezani kwa Sababu ya Imani Yao—Kulingana na Eneo
Mashahidi wa Yehova walio gerezani kwa sababu ya imani yao kufikia Novemba 2024
ENEO |
IDADI |
SABABU |
---|---|---|
12 |
|
|
64 |
|
|
131 |
|
|
8 |
|
|
Nchi Nyingine |
Zaidi ya 10 |
|
Jumla |
Zaidi ya 225 |
|
Kulingana na Kifungu cha 18 cha Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa, “haki ya kuwa na uhuru wa kufikiri, wa dhamiri, na wa kidini” ni haki ya msingi ya kibinadamu. a Hata hivyo, katika baadhi ya nchi Mashahidi wa Yehova wananyimwa haki hiyo ya msingi na kufungwa gerezani isivyo haki na hata kutendewa kikatili. Wengi wao wamefungwa gerezani kwa sababu tu ya imani yao. Na wengine wamefungwa kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.
a Ona pia Azimio la Watu Wote la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa, Kifungu cha 18, na Mkataba wa Ulaya Kuhusu Haki za Kibinadamu, Kifungu cha 9.