Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Orodha ya Vitabu vya Biblia

Vitabu vya Maandiko ya Kiebrania Kabla ya Wakati wa Kawaida (wa Ukristo)

JINA LA KITABU

MWANDIKAJI

MAHALI KILIPOANDIKIWA

UANDIKAJI ULIKAMILISHWA (K.W.K.)

MUDA UNAOHUSIKA (K.W.K.)

Mwanzo

Musa

Nyikani

1513

“Hapo mwanzo” mpaka 1657

Kutoka

Musa

Nyikani

1512

1657-1512

Mambo ya Walawi

Musa

Nyikani

1512

Mwezi 1 (1512)

Hesabu

Musa

Nyikani na Nchi Tambarare za Moabu

1473

1512-1473

Kumbukumbu la Torati

Musa

Nchi Tambarare za Moabu

1473

Miezi 2 (1473)

Yoshua

Yoshua

Kanaani

m. 1450

1473–m. 1450

Waamuzi

Samweli

Israeli

m. 1100

m. 1450–m. 1120

Ruthu

Samweli

Israeli

m. 1090

Miaka 11 ya utawala wa Waamuzi

1 Samweli

Samweli; Gadi; Nathani

Israeli

m. 1078

m. 1180-1078

2 Samweli

Gadi; Nathani

Israeli

m. 1040

1077–m. 1040

1 Wafalme

Yeremia

Yuda

580

m. 1040-911

2 Wafalme

Yeremia

Yuda na Misri

580

m. 920-580

1 Mambo ya Nyakati

Ezra

Yerusalemu (?)

m. 460

Baada ya 1 Mambo ya Nyakati 9:44: m. 1077-1037

2 Mambo ya Nyakati

Ezra

Yerusalemu (?)

c. 460

c. 1037-537

Ezra

Ezra

Yerusalemu

m. 460

537–m. 467

Nehemia

Nehemia

Yerusalemu

b. 443

456–b. 443

Esta

Mordekai

Shushani, Elamu

m. 475

493–m. 475

Ayubu

Musa

Nyikani

m. 1473

Zaidi ya miaka 140 kati ya 1657 na 1473

Zaburi

Daudi na wengine

 

m. 460

 

Methali

Sulemani; Aguri; Lemueli

Yerusalemu

m. 717

 

Mhubiri

Sulemani

Yerusalemu

k. 1000

 

Wimbo wa Sulemani

Sulemani

Yerusalemu

m. 1020

 

Isaya

Isaya

Yerusalemu

b. 732

m. 778–b. 732

Yeremia

Yeremia

Yuda; Misri

580

647-580

Maombolezo

Yeremia

Karibu na Yerusalemu

607

 

Ezekieli

Ezekieli

Babiloni

m. 591

613–m. 591

Danieli

Danieli

Babiloni

m. 536

618–m. 536

Hosea

Hosea

Samaria (Wilaya)

b. 745

k. 804–b. 745

Yoeli

Yoeli

Yuda

m. 820 (?)

 

Amosi

Amosi

Yuda

m. 804

 

Obadia

Obadia

 

m. 607

 

Yona

Yona

 

m. 844

 

Mika

Mika

Yuda

k. 717

m. 777-717

Nahumu

Nahumu

Yuda

k. 632

 

Habakuki

Habakuki

Yuda

m. 628 (?)

 

Sefania

Sefania

Yuda

k. 648

 

Hagai

Hagai

Yerusalemu lililojengwa upya

520

Siku 112 (520)

Zekaria

Zekaria

Yerusalemu lililojengwa upya

518

520-518

Malaki

Malaki

Yerusalemu lililojengwa upya

b. 443

 

Vitabu vya Maandiko ya Kigiriki Vilivyoandikwa Katika Wakati wa Kawaida (wa Ukristo)

JINA LA KITABU

MWANDIKAJI

MAHALI KILIPOANDIKIWA

UANDIKAJI ULIKAMILISHWA (K.W.K.)

MUDA UNAOHUSIKA (K.W.K.)

Mathayo

Mathayo

Palestina

m. 41

2 K.W.K.–33 W.K.

Marko

Marko

Roma

m. 60-65

29-33 W.K.

Luka

Luka

Kaisaria

m. 56-58

3 K.W.K.–33 W.K.

Yohana

Mtume Yohana

Efeso, au karibu

m. 98

Baada ya utangulizi, 29-33 W.K.

Matendo

Luka

Roma

m. 61

33–m. 61 W.K.

Waroma

Paulo

Korintho

m. 56

 

1 Wakorintho

Paulo

Efeso

m. 55

 

2 Wakorintho

Paulo

Makedonia

m. 55

 

Wagalatia

Paulo

Korintho au Antiokia ya Siria

m. 50-52

 

Waefeso

Paulo

Roma

m. 60-61

 

Wafilipi

Paulo

Roma

m. 60-61

 

Wakolosai

Paulo

Roma

m. 60-61

 

1 Wathesalonike

Paulo

Korintho

m. 50

 

2 Wathesalonike

Paulo

Korintho

m. 51

 

1 Timotheo

Paulo

Makedonia

m. 61-64

 

2 Timotheo

Paulo

Roma

m. 65

 

Tito

Paulo

Makedonia (?)

m. 61-64

 

Filemoni

Paulo

Roma

m. 60-61

 

Waebrania

Paulo

Roma

m. 61

 

Yakobo

Yakobo (ndugu ya Yesu)

Yerusalemu

k. 62

 

1 Petro

Petro

Babiloni

m. 62-64

 

2 Petro

Petro

Babiloni (?)

m. 64

 

1 Yohana

Mtume Yohana

Efeso, au karibu

m. 98

 

2 Yohana

Mtume Yohana

Efeso, au karibu

m. 98

 

3 Yohana

Mtume Yohana

Efeso, au karibu

m. 98

 

Yuda

Yuda (ndugu ya Yesu)

Palestina (?)

m. 65

 

Ufunuo

Mtume Yohana

Patmosi

m. 96

 

[Majina ya waandikaji wa vitabu fulani na ya mahali vilipoandikiwa hayajulikani kwa uhakika. Tarehe nyingi zimekadiriwa tu, herufi b. inamaanisha “baada ya,” k. inamaanisha “kabla ya” na m. inamaanisha “mnamo” au “karibu.”]