ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 2 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya Nyakati Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Kuanzia Adamu mpaka Abrahamu (1-27) Wazao wa Abrahamu (28-37) Waedomu na wafalme wao na mashehe wao (38-54) 2 Wana 12 wa Israeli (1, 2) Wazao wa Yuda (3-55) 3 Wazao wa Daudi (1-9) Uzao wa kifalme wa Daudi (10-24) 4 Wazao wengine wa Yuda (1-23) Yabesi na sala yake (9, 10) Wazao wa Simeoni (24-43) 5 Wazao wa Rubeni (1-10) Wazao wa Gadi (11-17) Wahagri washindwa (18-22) Nusu ya kabila la Manase (23-26) 6 Wazao wa Lawi (1-30) Waimbaji wa hekaluni (31-47) Wazao wa Haruni (48-53) Makao ya Walawi (54-81) 7 Wazao wa Isakari (1-5), wa Benjamini (6-12), wa Naftali (13), wa Manase (14-19), wa Efraimu (20-29), na wa Asheri (30-40) 8 Wazao wa Benjamini (1-40) Wazao wa Sauli (33-40) 9 Koo zilizoandikishwa baada ya kurudi kutoka uhamishoni (1-34) Orodha ya wazao wa Sauli yarudiwa (35-44) 10 Kifo cha Sauli na wanawe (1-14) 11 Daudi atiwa mafuta na Waisraeli wote kuwa mfalme (1-3) Daudi ateka jiji la Sayuni (4-9) Mashujaa hodari wa Daudi (10-47) 12 Waliounga mkono utawala wa Daudi (1-40) 13 Sanduku la agano laletwa kutoka Kiriath-yearimu (1-14) Uza auawa (9, 10) 14 Daudi aimarishwa kuwa mfalme (1, 2) Familia ya Daudi (3-7) Wafilisti washindwa (8-17) 15 Walawi wabeba sanduku la agano na kulipeleka Yerusalemu (1-29) Mikali amdharau Daudi (29) 16 Sanduku la agano lawekwa hemani (1-6) Wimbo wa shukrani wa Daudi (7-36) “Yehova amekuwa Mfalme!” (31) Utumishi mbele ya sanduku la agano (37-43) 17 Daudi hatajenga hekalu (1-6) Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (7-15) Sala ya Daudi ya shukrani (16-27) 18 Ushindi mbalimbali wa Daudi (1-13) Wasimamizi wa Daudi (14-17) 19 Waamoni wawatendea vibaya wajumbe wa Daudi (1-5) Daudi awashinda Waamoni na Wasiria (6-19) 20 Jiji la Raba latekwa (1-3) Majitu ya Wafilisti yauawa (4-8) 21 Daudi awahesabu watu bila idhini (1-6) Yehova awaadhibu (7-17) Daudi ajenga madhabahu (18-30) 22 Daudi afanya matayarisho ya kujenga hekalu (1-5) Daudi ampa Sulemani maagizo (6-16) Wakuu waamriwa wamsaidie Sulemani (17-19) 23 Daudi awapanga Walawi (1-32) Haruni na wanawe watengwa kando (13) 24 Daudi awapanga makuhani katika vikundi 24 (1-19) Kazi nyingine za Walawi (20-31) 25 Wanamuziki na waimbaji wa nyumba ya Mungu (1-31) 26 Vikundi vya walinzi wa malango (1-19) Waweka hazina na maofisa wengine (20-32) 27 Maofisa waliomtumikia mfalme (1-34) 28 Hotuba ya Daudi kuhusu ujenzi wa hekalu (1-8) Maagizo aliyompa Sulemani; ampa ramani ya ujenzi (9-21) 29 Michango kwa ajili ya hekalu (1-9) Sala ya Daudi (10-19) Watu washangilia; utawala wa Sulemani (20-25) Kifo cha Daudi (26-30) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki 1 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) 1 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo Kiswahili 1 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/1add6d1d93/images/syn_placeholder_sqr.png