AMKENI! Julai 2015 | Je, Unaongoza Maisha Yako?
Je, unahisi kwamba huwezi kuongoza maisha yako? Ona jinsi unavyoweza kuongoza maisha yako.
HABARI KUU
Changamoto: Hali Zisizoweza Kubadilika
Mambo manne yanayoweza kukusaidia kukabiliana na hali ngumu za maisha.
HABARI KUU
Changamoto: Kulemewa na Shughuli
Ukijaribu kufanya kila kitu, huenda ukashindwa kutimiza mambo mengine. Unawezaje kukabiliana na mkazo?
HABARI KUU
Changamoto: Hisia Zisizofaa
Je, unaongozwa na hisia kama vile mahangaiko, hasira, na huzuni? Mapendekezo yafuatayo yanaweza kukusaidia kushughulika na hisia hizo.
NCHI NA WATU
Kutembelea Mongolia
“Nchi Yenye Anga la Bluu” ni nchi iliyo na wakazi wanaohama-hama na wenye sifa nzuri ya ukarimu.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Uchumba Unapovunjika
Unawezaje kuendelea na maisha yako baada ya uchumba kuvunjika?
Unayopaswa Kujua Kuhusu Malaria
Unaweza kujilinda ikiwa unaishi au unapanga kutembelea nchi ambayo malaria imeenea.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Taya la Mamba
Taya la mamba lina uwezo mkubwa wa kung’ata kwa nguvu mara tatu zaidi ya simba au simbamarara, pia lina uwezo wa hali ya juu wa hisi kuliko ule wa ncha ya kidole cha mwanadamu. Jinsi gani?
Habari Zaidi Mtandaoni
Ni Vibaya Kuiba
Mungu ana maoni gani kuhusu kuiba? Soma Kutoka 20:15. Tazama video hiyo na ujifunze mengi zaidi pamoja na Caleb.