Siku ya Yenga
“. . . na kisha ule mwisho utakuja”—Matayo 24:14
Asubui
-
3:20 (9:20) Video ya Muziki
-
3:30 (9:30) Wimbo Na. 84 na Sala
-
3:40 (9:40) HOTUBA YENYE SEHEMU SITA: Uige Wale Wenye Waliamini Habari Njema
-
• Zekaria (Waebrania 12:5, 6)
-
• Elizabeti (1 Watesalonike 5:11)
-
• Maria (Zaburi 77:12)
-
• Yosefu (Mezali 1:5)
-
• Simeoni na Ana (1 Mambo ya Nyakati 16:34)
-
• Yesu (Yohana 8:31, 32)
-
-
5:05 (11:05) Wimbo Na. 65 na Matangazo
-
5:15 (11:15) HOTUBA YA WATU WOTE: Juu ya Nini Hatuogopake Habari za Mubaya? (Zaburi 112:1-10)
-
5:45 (11:45) Kifupi ya Munara wa Mulinzi
-
6:15 (12:15) Wimbo Na. 61 na Mapumuziko
Kisha Midi
-
7:35 (13:35) Video ya Muziki
-
7:45 (13:45) Wimbo Na. 122
-
7:50 (13:50) USOMAJI WA BIBLIA WENYE KUCHEZWA: “Hakutakuwa Tena Kukawia” (Ufunuo 10:6)
-
8:20 (14:20) Wimbo Na. 126 na Matangazo
-
8:30 (14:30) Umejifunza Nini?
-
8:40 (14:40) ‘Mushike Sana Habari Njema’—Juu ya Nini na Namna Gani? (1 Wakorinto 2:16; 15:1, 2, 58; Marko 6:30-34)
-
9:30 (15:30) Wimbo Mupya wa Pekee na Sala ya Mwisho